0 Comment
Naibu Msajili wa vyama vya siasa nchini Sisty Nyahoza akizungumza na wajumbe wa Chama Cha Siasa Cha Kijamii (CCK) katika mkutano Mkuu maalum wa Chama hicho kwa ajili ya kuwachagua na kuwapitisha wagombea nafasi ya Urais wa Tanzania Bara na Zanzibar ambao umefanyika tar 10/5/2025 jijini Dar es salaam. Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Kijamii... Read More