0 Comment
Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt.Suleiman Jaffo amewataka wafanyabiashara kutoka Tanzania na Iran kuhakikisha wanashirikiana kwa pamoja ili kupata manufaa makubwa katika masuala ya Biashara na uwekezaji. Dkt Jaffo ametoa kauli hiyo Jijini Dar es mapema leo Octoba 16, 2024 wakati akifungua Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Iran ambalo limelenga kutengeneza... Read More