0 Comment
Na WAF, TABORA Madakatari Bingwa wa Rais Samia kwa ushirikiano na Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete wamefanikiwa kuokoa uhai wa mama wa watoto 11 mwenye umri wa miaka 40 tu. Kwa mujibu wa wataalam inasemekana mama huyo alifika Hospitali ya wilaya ya Kaliua akiwa hajitambua na akiwa na ujauzito wa... Read More