0 Comment
Mkurugenzi Mtendaji wa DHL Tanzania, Humphrey Pule (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituko Vya Mafuta TotalEnergies, Abdul Rahim Siddique wakati kampuni hizo zolipozindua rasmi ushirikiano wa kibiashara Jijini Dar es Salaam Ijumaa. Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya DHL Express kwa kishirikiana na TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, zimezindua ubia wa huduma zao, katika... Read More