WATUMISHI wa Vyama vya Ushirika na Taasisi za Fedha wamepewa onyo kali kuacha mara moja kuhujumu malipo ya wakulima wa Tumbaku, wakibainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. “Tunasafisha Vyama vya Ushirika. Kiongozi na Mtumishi yoyote atakayehusika kwenye ubadhirifu wa fedha za wakulima, atasimamishwa kazi mara moja,” amesema Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe wakati wa... Read More
JE unataka kupiga mshindo siku ya leo?. Basi ingia kwa wajanja wa ubashiri Tanzania nzima Meridianbet uweze kujikusanyia maokoto ya maana na uweze kutimiza ndoto zako, mechi nyingi sana leo kupigwa. Unaweza kusuka jamvi mechi za Zambia vs Chad ambapo Meridinabet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.29 kwa 9.40. Timu... Read More
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew,akipanda ngazi kwenda kukagua ubora wa tenki la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni 6 za maji linalojengwa kupitia mradi wa maji Makonde wilayani Newala. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew,akigagua ubora wa tenki la maji linalojengwa kupitia mradi wa maji Makonde wilayani Newala, Serikali imetoa... Read More
*Afanikiwa kuishawishi Taasisi ya GTK kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Madini Dar Es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekamilisha ziara yake ya kikazi ya siku tatu nchini Finland Oktoba 10, 2024 kwa kukutana na viongozi wa kampuni za biashara na taasisi zinazosimamia biashara na... Read More
Meneja wa TRA mkoa wa Ruvuma Nicodemus Mwakilembe amewataka walipakodi wote kuwa na utaratibu wakulipa kodi kwa hiari na kwawakati kwani kulipa kodi sio dhambi bali ni uzalendo, ili kuepuka adhabu inayotozwa kwani inaweza ikawa kubwa kuliko kodi anayotakiwa kulipa. Amesema kulipa kodi ni wajibu wa kisheria hivyo ni jukumu la mlipakodi kutekeleza wajibu huu... Read More
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew,akipanda ngazi kwenda kukagua ubora wa tenki la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni 6 za maji linalojengwa kupitia mradi wa maji Makonde wilayani Newala. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew,akigagua ubora wa tenki la maji linalojengwa kupitia mradi wa maji Makonde wilayani Newala, Serikali imetoa kiasi... Read More
WATUMISHI wa Vyama vya Ushirika na Taasisi za Fedha wamepewa onyo kali kuacha mara moja kuhujumu malipo ya wakulima wa Tumbaku, wakibainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. “Tunasafisha Vyama vya Ushirika. Kiongozi na Mtumishi yoyote atakayehusika kwenye ubadhirifu wa fedha za wakulima, atasimamishwa kazi mara moja,” amesema Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe wakati wa mkutano... Read More
MENEJA Meneja wa ofisi ya NHIF Mkoa wa Kinondoni Dr. Raphael Mallaba amewataka kila mdau atimize wajibu wake ili kufanikisha azma ya pamoja ya kuwapa huduma bora na za viwango vya juu wanachama wa Mfuko. Tunahitaji kuwa na lugha ya pamoja ili mwanachama ajione wa thamani. Kila mmoja wetu hapa aone anawajibika kwa mwenzie... Read More
Mkurugenzi mtendaji wa ATE, Suzanne Ndomba-Doran na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mikocheni B, Nelson Saidi wakipanda mti mara baada ya kufanya usafi ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika wiki ya kwanza ya Oktoba kila mwaka.Wafanyakazi wa ATE na Cocacola wakifanya usafi katika barabara ya Cocacola Mikocheni B jijini Dar es... Read More