Tamasha linalosubiriwa kwa hamu la Samia Fashion Festival linatarajiwa kuzinduliwa, likiwaunganisha magwiji wa mavazi na utamaduni wa kiTanzania. Read More
Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes amedai kuwa hana shaka kuhusu ubora wa kocha wa Sporting CP Ruben Amorim. Amorim anahusishwa na kibarua cha Pep Guardiola katika Manchester City huku kukiwa na mazungumzo ya mkuu wa soka wa Sporting Hugo Viana kuhamia Uingereza kuchukua nafasi ya Txiki Begiristain anayeondoka. Fernandes alisema: “Michezo si kitu kipya,... Read More
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha ,Mussa Masaile akijiandikisha kwenye daftari la mpiga kura katika kituo cha shule ya sekondari Sekei mkoani Arusha. Happy Lazaro,Arusha . Arusha .Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha ,Musa Massaile amewataka wananchi kufika kwenye vituo kwa ajili ya kujiandikisha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa novemba 27. Akizungumza na waandishi... Read More
Na Mwamvua Mwinyi, PWANI Mkoa wa Pwani unatarajia kuandikisha zaidi ya watu milioni 1.2 kwenye daftari la wapiga kura, zoezi ambalo limeanza rasmi Oktoba 11 na linatarajiwa kukamilika Oktoba 20 mwaka huu. Kwa mujibu wa mkoa huo ,zoezi hilo litafanyika katika vituo vya uandikishaji 2,374 vilivyopo kwenye Vitongoji 2,028, Vijiji 417, na Mitaa 73. Akiongoza... Read More
Mgeni Rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla akiwa katika picha ya pamoja na viongozi baada ya ufunguzi wa maonesho ya chakula yaliyofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Kisiwani Pemba MFA wa BOT Makao Makuu ndogo Zanzibar akimkabidhi zawadi Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Serikali ya... Read More
Manchester United wanaweza kujiandaa kukaribisha mchezaji wao wa zamani kwenye klabu wakati wa baridi. The Red Devils wanakabiliwa na tatizo la majeraha katika beki wa kushoto huku Luke Shaw na Tyrell Malacia wakiwa nje. Per O Jogo, United wanafikiria iwapo watamchukua Alvaro Carreras Fernandez, ambaye aliondoka hivi majuzi tu kwenda Benfica. Klabu hiyo ina kipengele... Read More
Meneja wa zamani wa Liverpool Jurgen Klopp ametumia mitandao ya kijamii wiki hii kutetea kitendo chake kusaini mkataba Red Bull. Mjerumani huyo amekosolewa sana nchini Uingereza na Ujerumani kwa kuchukua nafasi na Red Bull Klopp atakuwa mkuu wa soka wa shirika hilo ambalo lina vilabu vingi barani Ulaya na duniani kote. Kupitia Instagram, Klopp alisema:... Read More
Mkuu wa wakala mkuu wa afya ya umma barani Afrika alitangaza siku ya Alhamisi kwamba mlipuko wa homa ya Ebola kama vile ugonjwa wa Marburg nchini Rwanda umedhibitiwa, na kufanya marufuku ya kusafiri katika taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa ya lazima. Rwanda iliripoti mlipuko huo mnamo Septemba 27, na vifo 13 hadi sasa. Kwa... Read More
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro Dkt. Daniel Nkungu amewataka wananchi wa Mkoa wa huo kutumia fursa iliyotolewa sasa kujitokeza kwa wingi katika hopsitali hiyo kwa ajili ya kuonana na madaktari bingwa kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI). Dkt. Nkungu amebainisha hayo wakati akiongea na waandishi wa... Read More
Na Mwandishi wetu Mpapura Wananchi mbalimbali wamejitokeza kwa wingi siku ya kwanza ya uandikishaji wapiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa na Vijiji. “Sisi Wananchi wa Tarafa ya Mpapura tumehamasishwa sana ndio maana tumejitokeza kwa wingi kujiandikisha. Lakini pia maendeleo tuliyoletewa na Serikali yametuhamasisha tujiandikishe ili tukapige kura ya kuchagua viongozi bora watakao endelea kutuletea... Read More