Idara ya afya ya mkoa wa Gauteng nchini Afrika Kusini imesema, wanafunzi 74 wa eneo la Rand Magharibi mkoani humo wanapatiwa matibabu kufuatia kuhisiwa kula chakula chenye sumu Alhamisi. Idara hiyo imesema wanafunzi wa kike takriban 74 kutoka Shule za Sekondari za Fochville, Badirile na ya Ufundi Stadi ya Wedela waliumwa na tumbo na... Read More
Msemaji mkuu wa jeshi la Nigeria Edward Buba amesema kwamba jeshi la Nigeria limefanya operesheni tofauti za kijeshi nchini kote, ambapo limeua watu wanaoshukiwa kuwa na silaha zaidi ya 165 na kuwakamata wengine 238 katika wiki iliyopita. Akiongea na wanahabari mjini Abuja, Bw. Buba amesema wanajeshi hao walipata maficho ya vikundi vya wahalifu, wakaharibu kambi... Read More
Maafisa tisa wa utawala wa kiraia wa Niger uliopinduliwa mnamo Julai 2023 “wamevuliwa” uraia wao, baada ya kushukiwa haswa “ujasusi kwa mataifa ya kigeni” na “njama dhidi ya mamlaka ya serikali”, serikali ya kijeshi imetangaza. Miongoni mwa watu hao tisa “waliovuliwa uraia wa Niger” ni majenerali Mahamadou Abou Tarka, wa Mamlaka ya Juu ya Kudumisha... Read More
Ikiwaa leo ni siku ya Mtoto wa kike Duniani Mwanamuziki Ali Kiba ametua Zanzibar kwa Lengo la kutoa sapport kwa wanawake kama ambavyo amekua akifanya kwa wanaume kwenye mipira kiba ameenda mbali zaid kwa kutangaza kua mwaka huu anatarajia kumtangaza msanii wa kike kwa lengo la kuthamini mtoto wa kike ambae atakua chini ya King... Read More
Geita, Oktoba 10, 2024 Wafanyakazi wa Mgodi wa Geita Gold Mine (GGM), kupitia Chama cha Wafanyakazi wa Migodi, Nishati, Ujenzi na Kazi Nyingine (TAMICO), wameonesha dhamira ya kumiliki nyumba zao kupitia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Haya yamebainika baada ya ujumbe kutoka NHC kufanya ziara katika mgodi huo mkoani Geita kwa lengo la kujadiliana... Read More
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora na kuzungumza na Viongozi na Wanachama wa CCM kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi katika Wilaya za Sikonge, Urambo... Read More
* Awahimiza Kujitokeza kwa Wingi Kujiandikisha * Awataka Kutumia Haki ya Kikatiba kuchagua Viongozi Wao *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha katika vituo vya kujiandikisha... Read More
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwa mkoani Tabora, amekutana na Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Paul Matiko Chacha na kuzungumza masuala mbalimbali kuhusiana na hali ya kiusalama mkoani humo. Picha na Jeshi la Polisi
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Salim ASAS amewasihi wananchi wa mkoa wa Iringa kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika vituo vya kujiandikishia kwenye maeneo yao. ASAS ametoa wito huu leo tarehe 11/10/2024 muda mfupi baada ya kukamilisha zoezi la kujiandikisha katika kituo cha afya cha PHC mtaa wa Sabasaba mjini Iringa. Amesema wananchi... Read More