0 Comment
SHIRIKA la Grumeti Fund kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imewaleta pamoja Wanafunzi wa kike 688 na wakiume 610 kutoka katika shule za Kunzugu, Sizaki na Paul Jones sekondari zilizopo Wilayani Bunda, kwa lengo la kutoa Elimu sambamba na kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili watoto wa kike na kiume pamoja na utatuzi wake ili kujenga jamii... Read More