Jina langu ni Jamal kutokea Pwani, katika maisha yangu, kamwe siwezi kusahau miaka kama saba iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia kesi mahakamni kuwa nilitaka kumbaka jambo ambalo sio la kweli na wala sijawahi hata kuwa nazo hilo.
Nilikamatwa na kufikishwa mahakamani, nilisomea mashtaka ambayo yote niliyakana na kupelekwa rumande, baadaye nilikuja kupata dhamana na kuachia jambo ambalo lilinipa tumaini ya kushinda kesi hiyo ngumu kuwahi kutokea…… SOMA ZAIDI