0 Comment
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba ameandika ujumbe wa kuwatuliza mashabiki wa timu yake ikiwa ni baada ya siku ya jana baadhi yao kutangaza watakuwa na dua maalum ya kuwaombea wanaoikwamisha Simba. Ahmed Ally ameandika ujumbe akiweka wazi kuwa wenye jukumu la kuilinda Simba ni Wanasimba wenyewe na kabla ya kuzungumza chochote fikiria... Read More



