0 Comment
Viongozi wa taasisi zinazokopesha bila kuchukua amana wakiwa kwenye mafunzo ……………… Na Hellen Mtereko, Mwanza Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeendelea kutoa elimu ya mfumo maalumu wa kuhakiki taarifa za wakopaji kabla ya kutoa mikopo kwenye taasisi zinazokopesha wananchi bila kuchukua amana. Elimu hiyo ya siku mbili imetolewa jijini Mwanza ambapo watoa huduma zaidi ya... Read More