Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Energetech-Tantel zimetiliana saini Hati ya Makubaliano (MOU) itakayowezesha usindikaji na usambazaji wa gesi asilia nchini kote. Read More
Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imewahimiza wananchi waliokuwa wateja wa benki zilizofungwa kutokana na kufilisika kujitokeza ili kuwasilisha madai yao ya fidia. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Maendeleo wa Denmark Mhe. Elsebeth Søndergaard Krone, mazungumzo yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika Jijini Sevilla Uhispania. Read More
Benki ya CRDB imeweka historia kwa kuorodhesha rasmi hatifungani yake ya kwanza ya kijani maarufu kama ‘Kijani Bond’ katika Soko la Hisa la Luxembourg (LuxSE). Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mjumbe wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani Balozi Susanne Wusan-Rainer kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) Sevilla,Hispania. Read More
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Nishati ya PUMA Energies, Duniani Bw. Mark Russell. Read More
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Manispaa ya Geita, Bw. Robert Sugura, alilazimika kuitwa kutoa ufafanuzi kuhusiana na sakata hilo ameongea kuwa baadhi ya vikundi vilikosa mikopo hiyo kutokana na kutokamilisha vigezo vilivyowekwa, licha ya baadhi yao kudai kutuma maombi ndani ya muda. Read More