Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. CP – Suzan Kaganda, amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa wa Wakuu wa Vyuo vya Ukamanda na Unadhimu Afrika (African Conference of Commandants-ACOC) Meja Jen. SJ Mnkande. Meja Mnkande ni Mkuu wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Duluti-Arusha, na anaongoza ujumbe kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Read More










