Kada wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga Macrina Clemens (kulia ) akikabidhiwa fomu na Katibu wa UWT Mkoa wa Tanga Anastazia Aman Na Mwandishi Wetu,TANGA. Read More
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dismas Nsindo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Kuwania Udiwani WA Kata ya Buyuni, wilayani Ilala, mkoani Dar es salaam. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mjumbe wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani Balozi Susanne Wusan-Rainer kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) Sevilla,Hispania. Read More
Taswira ya Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 ambalo limefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Read More
Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi Read More
Mbunge wa Tandahimba (CUF),Mhe. Katani Ahmed Katani,amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kama Mbunge wa Pangani, Juma Aweso atarudi tena bungeni katika uchaguzi ujao basi amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Maji ili aweze kukamilisha yale mambo mazuri yaliyobaki. Read More