0 Comment
Urusi imefanya shambulizi kubwa dhidi ya miundombinu ya nishati nchini Ukraine, hatua iliyosababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mengi ya nchi hiyo. Taarifa hiyo imetolewa leo na Kampuni ya Taifa ya Umeme ya Ukraine, Ukrenergo. Kupitia ujumbe uliotolewa kwenye mtandao wa Telegram, Ukrenergo imesema kuwa mashambulizi hayo bado yanaendelea, huku ikibainisha kuwa shughuli za kurekebisha
The post Urusi Yashambulia Gridi ya Umeme Ukraine, Maeneo Mengi Yabaki Giza appeared first on Global Publishers. Read More











