Kamishna Turk alisema hatua iliyochukuliwa na Tanzania kuanzisha Tume ya kuchunguza kilichojiri Oktoba 29, kama hatua muhimu inayojali haki za binadamu . Read More
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amewaagiza baadhi ya mawaziri alioambatana nao wabakie mkoani Tanga ili kufuatilia masuala yaliyoibuliwa na wananchi na kuyatafutia ufumbuzi. Masuala hayo yalitokana na hoja zilizoibuliwa kwenye mikutano ya hadhara na wabunge wa mkoa wa Tanga na wananchi mbalimbali kwenye sekta za ardhi, mifugo, kilimo, maji, elimu na barabara. Ametoa Read More
Urusi imefanya shambulizi kubwa dhidi ya miundombinu ya nishati nchini Ukraine, hatua iliyosababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mengi ya nchi hiyo. Taarifa hiyo imetolewa leo na Kampuni ya Taifa ya Umeme ya Ukraine, Ukrenergo. Kupitia ujumbe uliotolewa kwenye mtandao wa Telegram, Ukrenergo imesema kuwa mashambulizi hayo bado yanaendelea, huku ikibainisha kuwa shughuli za kurekebisha
The post Urusi Yashambulia Gridi ya Umeme Ukraine, Maeneo Mengi Yabaki Giza appeared first on Global Publishers. Read More
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Mteule wa Uganda, Jenerali Yoweri Kaguta Museveni, amemtunuku nishani Mkuu wa Majeshi (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kwa kutangaza na kutambua ujasiri wake katika operesheni dhidi ya makundi ya kigaidi nchini Somalia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), na Sudan Kusini. Katika hafla hiyo maalumu ya kijeshi, Rais Museveni alimpongeza
The post Museveni Amtunuku Nishani Mwanaye CDF Muhoozi Kwa Ujasiri appeared first on Global Publishers. Read More
Na Happy Lazaro,Arusha . Mkuu wa wilaya ya Arusha Joseph Mkude amewataka madiwani wa halmashauri ya jiji la Arusha kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko wa bima ya afya kwa wote(NHIF) ili kuwa na uhakika wa matibabu. Ameyasema hayo leo wakati akizundua mpango wa bima ya afya kwa wote iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa wilaya Read More
Timu ya Vodacom Tanzania kanda ya ziwa ikiendelea kusambaza upendo kwa wateja wake kwa kugawa Kapu la Vodacom ikiwa ni ishara ya kusherehekea msimu huu wa sikukuu pamoja na wateja wao na kuhitimisha sherehe za Miaka 25 ya utendaji wa kampuni hiyo hapa nchini. Hafla hii imefanyika katikati ya mwezi Disemba wilaya ya Karagwe, mkoani Read More
Na. Meleka Kulwa- Dodoma HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetangaza orodha ya awali ya wadaiwa wa malipo ya viwanja katika maeneo ya Mtumba Zone II, Mtumba Zone III na Kikombo, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa hatua za usimamizi wa ardhi ya umma. Akizungumza na waandishi wa Habari Desemba 29,2025 Jijini Dodoma, Mkuu wa Kitengo Read More
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Bunju B, alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko hilo pamoja na ujenzi wa Kituo cha Mabasi, Jijini Dar es Salaam, Desemba 29, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wakazi wa Bunju B Read More
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa kusaini mkataba mnono wa udhamini wa Mashindano ya Mapinduzi Cup kwa kipindi cha miaka mitano, unaobadili rasmi jina la michuano na sasa kuitwa NMB Mpinduzi Cup. NMB Mapinduzi Cup 2026 inashirikisha timu 10, zikiwemo Yanga, Simba SC, Azam FC, Singida Read More