Mshambuliaji wa timu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ureno Diego Jota amefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea Zamora nchini Hispania Read More
Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya kihistoria ya zaidi ya kilomita 1,500 kwa muda wa takribani siku 11 kutoka jijini Dar es Salaam mpaka mji wa Butiama. Read More
Kikosi cha Geita Queens kimefanikiwa kurejea tena katika Ligi Kuu ya Soka la Wanawake Tanzania kwa mara ya pili, kufuatia ushindi muhimu walioupata jijini Mwanza. Read More
Mwananyanza aliwataka wachezaji wa Simba kuacha visingizio visivyo na tija na kuelekeza nguvu zao katika mchezo, akisisitiza kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo hakuna sababu ya kuwa na hofu au kisingizio cha uwanja. Read More
Katika usiku wa kusisimua kwenye dimba la Emirates, kiungo wa kati wa Arsenal, Declan Rice, aling'ara kwa kufunga mabao mawili ya adhabu ndogo katika ushindi dhidi ya Real Madrid. Read More