Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi (VETA) kupitia chuo chake cha VETA Arusha, imezindua Mradi wa kuzalisha Gesi Asilia kwa kutumia Samadi (Biogas), kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi na watumishi. Read More
Dkt. Leonard Akwilapo, amekabidhi vyeti kwa shule tatu zilizonufaika na miradi ya Mfuko wa Elimu wa Taifa baada ya kukamilika kwa ujenzi wake katika Halmashauri za Wilaya ya Mtama na Masasi Read More
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete azungumza na watumishi na wadau wa Mahakama ya Tanzania wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo Jijini Dodoma. Read More
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga azindua maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza Januari 25, yanatarajia kumalizika Februari 3, 2025 katika viwanja vya stendi ya zamani mjini Babati, Manyara. Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kuhudhuria Mahafali ya 22 yaliyofanyika leo 5-12-2024 na (kushoto kwake) Waziri... Read More