0 Comment
NA VICTOR MASANGU, Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka ameungana kwa pamoja na umoja wa wanawake wa (UWT) Wilaya ya Kibaha mjini katika kumuunga mkono Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kupitishwa na mkutano mkuu wa chama kuweza kugombea tena nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika... Read More