0 Comment
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Goa Amalila Mwanguli 27 Amekamatwa katika Hifadhi ya Taifa Ruaha na Askari wa hifadhi hiyo huku akiwa na Kichwa cha Chatu Pamoja na Mkia wake , Samaki wabichi pamoja na Silaha za Jadi ikiwemo panga. Akizungumza na AyoTv leo Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Ruaha Godwell Ole mei’ngataki amesema... Read More