0 Comment
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan siku ya Ijumaa alihukumiwa kifungo cha miaka 14 jela, na mkewe Bushra Bibi miaka saba katika kesi inayohusiana na matumizi mabaya ya mamlaka na ufisadi iliyohusisha Taasisi ya Khan ya Al-Qadir University Project Trust. Khan pia alipewa faini ya milioni 1 za Pakistani (dola 3,500), huku Bibi... Read More