0 Comment
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wale wote ambao hawakujitokeza kuchukua vitambulisho vyao vya Taifa vilivyopelekwa katika ofisi za Kata, Vijiji, Mitaa, Vitongoji au kufika katika ofisi za NIDA za wilaya walikojisajili kuchukua vitambulisho vyao mara watakapopokea ujumbe mfupi wa maandishi katika simu zao za mkononi (sms) unaowataka kufanya hivyo Atakayeshindwa kufanya hivyo matumizi... Read More