0 Comment
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imejipanga kutekeleza mikakati yenye lengo la kuhakikisha kunakuwa na uendelevu wa kusimamia Sekta ya Usafiri wa Anga nchini kwa sasa na baadaye. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Bw. Salim Msangi wakati akiwasilisha mikakati hiyo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Januari 15, 2024... Read More