0 Comment
Mabilionea Elon Musk, Jeff Bezos na Mark Zuckerberg watahudhuria kuapishwa kwa Donald Trump wiki ijayo, hii ni kulingana na na ripoti zilizoangazia zaidi juhudi za matajiri hao wa teknolojia kukuza uhusiano wa karibu na rais ajaye. Mtandao huo, ukimnukuu afisa ambaye hakutajwa jina aliyehusika katika kupanga hafla hiyo ya Januari 20, ulisema wanaume hao watatu... Read More