0 Comment
NA WILLIUM PAUL, MWANGA. MKUU wa wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Mwanahamisi Munkunda amewataka wawekezaji kwenda kuwekeza katika wilaya hiyo kwani tatizo la maji ambalo lilikuwa kero kwao limeshapatiwa ufumbuzi wa kudumu. Alitoa kauli hiyo jana alipofanya kikao na Wadau wa maji na menejimenti ya Mamlaka ya Maji Same Mwanga (Samwasa) mara baada ya kutembelea... Read More