0 Comment
Mawakili wa Sean “Diddy” Combs walidai katika mahakama madai yaliyowasilishwa Jumanne kwamba video zinazoonyesha matukio ya ngono ya rapa huyo, mpenzi wake wa zamani Cassie Ventura na vijana wakiume “zinathibitisha kutokuwa na hatia kwa Bw. Combs” kwa sababu zinaonyesha ngono kati ya “watu wazima waliokubali na sio kulazimishwa.” Kuna video tisa ambazo waendesha mashitaka wamedai... Read More