0 Comment
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv KATIKA kukuza uelewa wa mifumo ya utoaji haki pamoja na haki madai mahakama nchini imesema kuwa itaendelea kutoa elimu kwa wananchi hususan katika kuadhimisha wiki ya sheria nchini. Hayo yamesemwa leo Januari 14, 2025 na Jaji Mkuu nchini Profesa Ibrahim Juma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es... Read More