0 Comment
Ndoa ya Kocha wa klabu ya Manchester City inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza na mke wake ,Cristina Serra Imevunjika rasmi baada ya kudumu kwa muda wa miaka 30. Guardiola na mke wake wamekuwa wakiishi tofauti kwa muda wa miaka mitano huku Guardiola akiendelea na kazi zake huko Manchester city na mke wake akifanya kazi zake... Read More