0 Comment
Real Madrid wanatarajia kujaribu maji marefu Januari hii kwa ofa ya kutaka kumnunua kijana wa Man City, Savinho, mchezaji ambaye klabu yake inasema hawezi kuguswa. Ingawa ana bao moja pekee katika mechi 17 msimu huu Mbrazil huyo amekua katika jukumu lake chini ya Pep Guardiola, na pasi za mabao sita sio mbaya sana katika hatua... Read More