0 Comment
Rais mteule Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin wanatarajiwa kuwa na mazungmzo ya simu katika siku au wiki zijazo, mshauri wa usalama wa kitaifa wa Trump, Rep. Mike Waltz, alisema Jumapili. Katika mahojiano kwenye kituo cha habari cha ABC News, Waltz alisema “maandalizi yanaendelea” kwa mkutano kati ya Trump na Putin. “Natarajia simu …... Read More