0 Comment
Polisi wa Los Angeles wameripoti kumkamata Mwanamume aliyekuwa amejivisha mavazi ya zimamoto ili kuiba kwenye Nyumba katika eneo lililoathiriwa na moto karibu na Malibu ambapo tukio hilo limetokea wakati moto mkubwa ukiendelea kuharibu mali na kulazimisha Watu zaidi ya 100,000 kuhama makazi yao huko Jijini Los Angeles Nchini Marekani. Kwa mujibu wa Ripoti za Polisi... Read More