0 Comment
Na Nasra Ismail Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeshiriki Maonesho ya 11 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Chamalangwa-Pemba Visiwani Zanzibar yaliyoanza tarehe 7/1/2025-15-1-2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri wa Utalii na Malikale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Mudrik Soraga. Katika Maonesho hayo, Mgeni Rasmi alilitunuku Shirika la Madini la... Read More