0 Comment
January 8,2025 Mwenyekiti wa wazazi, Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Khadija Ally Said, ameendelea kutimiza ahadi yake ya kugawa viti mwendo kwa watu wenye mahitaji maalum, na safari hii amezifikia kaya tano za kata ya mjimwema, wilaya ya Kigamboni. Akiambatana na Diwani wa kata hiyo, Mheshimiwa Omary Ngurangwa, mwenyekiti wa wazazi, wilaya kigamboni, Greyson... Read More