0 Comment
*DCEA yawaonya wafanyabiashara dawa za kulevya, yatoa ombi kwa wananchi Na Said Mwishehe,Michuzi TV MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema kuwa tathimini ya upatikanaji na usambazaji wa dawa za kulevya inaonesha kuwa, dawa aina ya heroin zimepungua sana hapa nchini. Akizumgumza na waandishi wa habari leo Januari 9,2025 jijini Dar es... Read More