0 Comment
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) mkoa wa Njombe Dkt.Scholastika Kevela amegiza viongozi wa Jumuiya hiyo kufanya kazi ili kuwapelekea maendeleo wanawake na kuzifikia ndoto zao. Dkt.Scholastika ametoa maelekezo hayo alipokuwa akizungumza na wajumbe wa mkutano wa baraza kuu la UWT mkoa wa Njombe uliofanyika kwenye ukumbi ofisi za... Read More