0 Comment
Kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) katika Wilaya ya Wenchi magharibi Nchini Ghana limewatunuku Wasichana 20 wenye umri kati ya miaka 13 hadi 16 kwa kulinda usichana wao ambapo tukio hilo lilifanyika wakati wa ibada ya shukrani ya sabato ya kwanza ya mwaka 2025, ambapo kila Msichana alipewa zawadi ya fedha kwa ajili ya mahitaji... Read More