Tanzania imeibuka kati ya washindi kwenye Shindano la Shirikisho la Kimataifa Mchezo wa Ndege Kipanga (International Federation for Falconry Sports and Racing Cup UAE) lililofanyika Dubai, Falme za Kiarabu (UAE). Katika mashindano hayo Tanzania iliwakilishwa na Akram Azizi ambaye aliingoza timu Kilombero North Safaris Limited (KNSL). Shindano hilo limefanyika Dubai kwa mwaka wa pili mfululizo... Read More
Takribani Safari za Ndege 4,500 zimcheleweshwa na nyingine 2,000 kuhairishwa huko Nchini Marekani kufuatia dhoruba kali ya majira ya baridi. Baadhi ya picha kutoka katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Muhammad Ali wa Louisville huko Kentucky zinaonyesha ndege zikiwa zimefunikwa ma theluji. Siku nzima tumekuwa tukifuatilia jinsi dhoruba hii ya msimu wa baridi inavyoathiri... Read More
Hilde Dosogne mwenye umri wa miaka 55 wa Ubelgiji hivi majuzi aliweka rekodi mpya ya dunia baada ya kushiriki mbio nyingi na mfululizo hii ni baada ya kukimbia marathoni kamili 366 (zaidi ya kilomita 15,000) mnamo 2024. Mnamo Mei 30, 2024, Hilde Dosogne alikuwa tayari amevunja rekodi ya dunia ya wanawake kwa kufanya marathoni nyingi... Read More
Mgahawa maarufu wa Sage Regenerative Kitchen & Brewery huko California Nchini Marekani unaouza vyakula vya mboga mboga umetangaza kufungwa baada ya Wateja wake waaminifu ambao ni waumini wa vyakula vya mboga za majani (Vegeterians) kuandamana vikali kupinga uamuzi wa Mgahawa huo wa kutaka kuanza kuuza nyama na bidhaa za maziwa amnapo Mgahawa huo uliokuwa ukihudumu... Read More
Mwenye nyumba kaskazini mwa Ufaransa amewaacha wanamitandao kwenye mshangao baada ya kujaribu kuwalazimisha wapangaji wake kuondoka katikati ya msimu wa baridi kwa kuondoa milango na madirisha kwenye nyumba yake aliowapangishia Nchini Ufaransa, kama ilivyo katika nchi nyingi za Ulaya, ni kinyume cha sheria kuwafukuza wapangaji wakati wa majira ya baridi kali, hata kama hawajalipa kodi... Read More
Shirika la kupambana na ufisadi nchini Korea Kusini limewataka polisi kuchukua jukumu la kutekeleza agizo la kukamatwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani Yoon Suk-yeol baada ya wapelelezi wake kushindwa kumweka rumande kufuatia mzozo kati ya idara ya usalama ya rais wiki iliyopita. Shirika hilo na polisi walithibitisha majadiliano hayo siku ya Jumatatu, saa chache kabla ya... Read More
Iran imepunguza umri wa chini wa kufanyiwa upasuaji wa urembo hadi miaka 14 kwa wasichana na 16 kwa wavulana, kulingana na tangazo rasmi. “Kwa mtazamo wa kisayansi, enzi hizi sasa zinachukuliwa kuwa zinafaa. Wasichana wanaweza kufanyiwa upasuaji kuanzia miaka 14, huku wavulana wakistahiki kuanzia umri wa miaka 16,” Ibrahim Rezmpa, mjumbe wa bodi ya Chama... Read More
Wizara ya Afya ya Palestina huko Gaza imeonya juu ya uhaba mkubwa wa dawa na vifaa vya matibabu wakati wa vita vya mauaji ya halaiki ya Israeli dhidi ya eneo hilo. “Hifadhi za dawa 120, ikiwa ni pamoja na matibabu 20 ya saratani, zimepungua kabisa katika ghala za wizara,” afisa wa afya Wael al-Sheikh aliiambia... Read More
Korea Kaskazini siku ya Jumatatu imerusha kombora mara tu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alipotembelea Korea Kusini, ambako alitafuta mwelekeo thabiti kuhusu sera za kigeni huku msukosuko wa kisiasa ukiikumba mshirika wa Marekani. Blinken alitembelea wakati wachunguzi walipokuwa wakijaribu kumkamata Rais wa kihafidhina Yoon Suk-yeol, ambaye amejikita katika makazi yake baada... Read More