0 Comment
Hilde Dosogne mwenye umri wa miaka 55 wa Ubelgiji hivi majuzi aliweka rekodi mpya ya dunia baada ya kushiriki mbio nyingi na mfululizo hii ni baada ya kukimbia marathoni kamili 366 (zaidi ya kilomita 15,000) mnamo 2024. Mnamo Mei 30, 2024, Hilde Dosogne alikuwa tayari amevunja rekodi ya dunia ya wanawake kwa kufanya marathoni nyingi... Read More