0 Comment
Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024, Serikali ya Tanzania imefanikiwa kufikisha umeme katika vijiji 12,278, sawa na asilimia 99.7 ya vijiji vyote nchini. Aidha, vitongoji 32,827 vimefikiwa na umeme kati ya vitongoji 64,359, sawa na asilimia 51. Hatua hii imeongeza fursa kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi na kuboresha sekta muhimu kama... Read More