0 Comment
Mjumbe wa Halmshauri kuu ya chama cha Mapinduzi taifa MNEC Richard Kasesela amesema kuwa mwaka wa 2025 utakuwa mwaka wa kutenda haki kwa kila jambo na kwa kila mwananchi kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi pamoja upendo na utu kwa kila mwananchi. Na Fredy Mgunda Mjumbe wa Halmshauri kuu ya chama cha Mapinduzi... Read More