0 Comment
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla amewataka vijana kuendeleza umoja na mshikamano pamoja na kuwa na dhamira njema ya kuijenga nchi ili kila mmoja aweze kunufaika na matunda ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964. Akizungumza na Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar (... Read More