0 Comment
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha 2024 lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kuhakikisha linalinda raia na mali zao, linadhibiti ajali za barabarani na kukamata watuhumiwa wa matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo mauaji, kujeruhi, unyang’anyi wa kutumia silaha, uvunjaji, wizi na matukio mengine ya kimaadili kama vile matumizi ya... Read More