0 Comment
Rais wa zamani Jimmy Carter, mkulima wa karanga na gavana wa jimbo la Georgia kabla ya kuwa rais, amefariki akiwa na umri wa miaka 100. “Mtu wa kanuni” kwa mujibu wa Rais wa Marekani anayemaiza muda wake Joe Biden, mtetezi wa “haki za watu walio katika mazingira magumu” kwa mujibu wa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, Rais wa zamani wa... Read More