0 Comment
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa, amesema chama hicho kimeendelea kutafsiri kwa vitendo sera zake za uimarishaji wa huduma za afya nchini zinazoendana na mahitaji ya wananchi wa makundi yote. Hayo ameyasema katika ziara yake ya kuwatembelea wagonjwa na watu wenye mahitaji maalum katika maeneo mbalimbali ya... Read More