0 Comment
WACHEZAJI TIMU YA TAIFA ZA ZANZIBAR WATAKIWA KUCHEZA KIZALENDO NA KUFUATA MAELEKEZO YA VIONGOIZI WAO
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewataka wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar Herous, kucheza kizalendo na kufuata maelekezo yanayotolewa na viongozi wao. Ameyasema hayo katika Chuo Kikuu cha Sumait Chukwani Wilaya Magharibi ‘B’ wakati alipowatembelea wachezaji wa Timu hiyo amesema ni vyema wachezaji wakiwa na malengo mahsusi ambayo... Read More