0 Comment
Ruben Amorim anajua kibarua chake kitakuwa hatarini iwapo Manchester United wataendelea kung’ang’ania lakini kocha mkuu ameridhika na shinikizo hilo. Ahadi ya awali baada ya kuchukua nafasi ya Erik ten Hag imefifia huku Mashetani Wekundu wakipania kurejea kutoka kwa kushindwa kwa mara ya tatu mfululizo katika michuano yote watakapowakaribisha Newcastle mwishoni mwa mwaka wa hali ya... Read More