0 Comment
Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini wamemfungulia mashtaka Waziri wa zamani wa Ulinzi Kim Yong-hyun kwa kuhusika kwake katika tamko lililodumu kwa muda mfupi la Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol la sheria ya kijeshi. Anashtakiwa kwa uasi na matumizi mabaya ya mamlaka. Yoon alitekeleza hatua hiyo Desemba 3, lakini wabunge walibatilisha uamuzi huo bungeni saa... Read More