0 Comment
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza miradi hiyo ikamilike kabla ya msimu wa... Read More