0 Comment
Rais wa Ghana anayeondoka Nana Akufo-Addo ameidhinisha raia kutoka nchi nyengine za Afrika kuingia nchini humo bila masharti ya viza. Uidhinishaji huo unaifanya Ghana kuwa mojawapo ya mataifa machache ya Afrika-pamoja na Rwanda, Seychelles, Gambia, na Benin kuruhusu wananchi wenye hati za kusafiria kutoka mataifa mengine ya Afrika kuingia bila viza. Uamuzi huu unatimiza ahadi... Read More