0 Comment
Watuhumiwa watano wakiwemo raia wa China wawili, wanoakabiliwa na tuhuma za kuharibu Miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR) wamepandishwa kwa mara ya pili, katika mahakama ya Wilaya ya Kibaha, wakikabiliwa na makosa sita yakiwemo matano ya uhujumu wa miundombinu ya reli na utakatishaji wa fedha. Akiwasomea mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Mhe.... Read More